Christadelphians wanaozungumza Kiswahili
Karibu kwa Christadelphians wanaozungumza Kiswahili
Jua yote kuhusu Christadelphians ni nani, wanaamini nini na jinsi ya kuwasiliana nasi kupitia tovuti hii, kwa kutumia viungo vilivyo hapa chin:
Tunalenga kufundisha ujumbe wa kweli wa Injili ya Habari Njema, inayofundishwa kotekote katika Biblia, na tunataka kushiriki nawe tumaini zuri ajabu la wakati ujao.